Mgongano wa ndani ndani ya uongozi wa Chadema unaonekana wazi katika namna wanavyoshughulikia Masuala nyeti kama uchunguzi wa utekaji na mauaji ya Ali Mohamed Kibao.
Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu wanatofautiana waziwazi, jambo linalodhihirisha ukosefu wa mshikamano...