Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limeeleza kusikitishwa na taarifa za kifo cha Kada wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) na Mjumbe wa Sekretarieti, Ndugu Mohamed Ali Kibao.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo, Mwenyekiti wa TEF, Deodatus Balile amewapa pole familia ya ndugu...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemwambia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni kuwa amfikishie salamu Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anatakiwa kuunda Tume ya Kijaji ya Mahakama kuchunguza matukio ya utekaji na mauaji Nchini.
Amesema Tume hiyo ambayo itachunguza pia tukio la...