Ndugu zangu Watanzania,
Nawaambieni muda wote na siku zote kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi muda wote anafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania,muda na wakati wote anahangaika kutatua kero za watanzania,muda na kila dakika anafanya kazi ya kutafuta majawabu ya changamoto...
Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amefariki Dunia leo Novemba 9, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India.
Rais Samia Suluhu Hassan ameandika katika Mitandao yake ya Kijamii kuhusu Kifo cha Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango,
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawasogezeeeni taratiibuu habari na taarifa hii kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Amemteua Mheshimiwa Balozi Ombeni Sefue kuwa mjumbe wa Tume ya Mipango. Ambapo lengo la Tume hii ni kusimamia Uchumi, Mchakato...
Juzi nilimsikiliza waziri wa mipango akiongea clouds nilishangaa sana waziri wa mipango anaongea habari ya ajira kama ambavyo kila layman anaongea. eti anasema serikali haitoi ajira watu wajiaijri.
Mimi siamini kama vijana wanakosa ajira, wanakosa kwa sababu ya kukataa ajira za sekita binafsi...
MBUNGE REUBEN NHAMANILO: TUME YA MIPANGO YA TAIFA IWE TAASISI INAYOJITEGEMEA, ATAJA FAIDA ZA KUWA NA TAASISI YA MIPANGO YA TAIFA INAYOJITEGEMEA
"Mwaka 1961 - 1964 Mipango ya Taifa imekuwa ikipangwa na Tume ya Maendeleo ya Uchumi. Mwaka 1965 Mipango tukaipeleka Ofisi ya Rais Idara ya Mipango na...
Nimejaribu kupitia majina ya wateule tume ya mipango nashindwa kuelewa majukumu na malengo ya tume yatatekelezwa vipi.
Tunahitaji wabobezi kuongoza hiyo tume ili tuanze kupata matokeo mapema.
Ikiwezekana wateule wapatikane kwa njia za usaili za kawaida na sio uteuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.