Naomba nisisitize kwamba utaratibu uliopo wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru hii sio demokrasia na ili ipatikane tume huru na ya kisasa zaid itakayo fanya haki nilishauri kwenye jukwaa la stories of change kwamba tume huru ikaundwe na wataalamu wa vyama vyote vya siasa nchini hapa...
Wanabodi,
Baada ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura kufanyika Dodoma na viunga vyake sasa zoezi limehamia mikoa mingine
====================================================
Kupitia ukurasa wa Instagram wa INEC, tume hiyo ya Uchaguzi imetangaza kuwa uboreshaji wa daftari...
Mwenyekiti Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, Jaji Mbarouk S. Mbarouk amesisitiza kuwa ni kosa kisheria mtu mmoja kujiandikisha jina lake la kupiga kura zaidi ya mara moja kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria.
Mbarouk ameyasema hayo leo 15 Desemba 2024 katika uzinduzi wa mkutano wa tume na...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar litaanza tarehe 07 hadi 13 Oktoba 2024.
Akizungumza katika mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika Kisiwani Pemba, Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo tarehe 14 Agosti 2021 imekabidhiwa tuzo ya Mshindi wa Pili kwa Taasisi za Serikali zinazoongoza kwa upandaji miti mkoa wa Dodoma.
Tuzo hiyo imetolewa kwenye Tamasha la Upandaji Miti la mwaka 2021 lililofanyika Chuo cha DECA Jijini Dodoma ambapo.
Kwa mujibu wa kifungu cha 53 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, ikiwa mpiga kura ambaye tayari amekwisha kupiga kura hajaridhishwa na mwenendo wa upigaji kura katika kituo cha kupigia kura, anaweza kutoa malalamiko yake kwa msimamizi wa uchaguzi kwa kujaza Fomu namba 15.
Baada ya...
Ibara ya 54 ya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 inamruhusu mtu anayeshindwa kupiga kura kutokana na sababu za ulemavu au kutojua kusoma na kuandika
(a) Kumchagua mtu yeyote anayemwamini, tofauti na afisa anayesimamia uchaguzi, kumsaidia kupiga kura
(b) [Mpiga kura mwenye ulemavu wa...
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo inajumuisha wawakilishi wa vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa kiti cha Rais.
Wajumbe 15...
NIMEKUA mfuatiliaji wa matukio na mijada mbalimbali ya Uchaguzi katika kipindi hiki ambacho Taifa la Tanzania linakwenda katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uchaguzi huo unataraji kufanyika Oktoba 28, 2020...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.