Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini Nigeria (INEC) imepanga kutumia teknolojia ya Akili Unde (AI) kusaidia kukagua na kuthibitisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Mwenyekiti wa INEC, Profesa Joash Amupitan, amesema tume hiyo imeanzisha kitengo maalum cha AI kitakachosaidia kubaini...