Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho, ataunda tume ya ukweli na upatanishi.
Amesema katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho kuanzia ngazi za chini hadi wa taifa, utakaohitimishwa Jumanne ya Januari 21, 2025, kumetokea mnyukano mwingi...