Hata uwe na vigezo kiasi gani, kama huna connection Zanzibar hutoboi. Mfano mdogo ni ajira za hivi karibuni kuna jamaa alikuwa na G.P.A zaidi ya 3.8, vyeti vya ziada ikiwemo computer na interview zote mbili kafanya vizuri ila katemwa.
Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar.
Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya kwanza ya maandishi (written interview) na haikuzidi siku tatu list ya Interview ya pili ya ana kwa ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.