Salaam, Shalom!
Tunaambiwa tutoe maoni Ili kupata dira mpya ya Taifa Kwa miaka mingi ijayo,
Tusipoteze muda na pesa za walipa Kodi, Dira ya Taifa Inatakiwa iwemo ndani ya Katiba mpya,
Turudishe mezani Rasimu ya Tume ya Warioba Ile ambayo aliwasilisha mwanzoni tuanzie hapo kuongeza maoni mapya...
Dr Slaa leo tar 13 Dec 2022 akiwa ktk Mtandao wa Club house kwenye mjadala unaoendelea kuhusu mahitaji na Katiba Mpya, na Demokrasia nchini.
Dr Slaa anasema wanaisemea sana CHADEMA kwa kuwa ndio Chama chenye Nguvu.
Hata hivyo amesema madai ya Katiba Mpya bado yanahitaji maridhiano kati ya...
Kazi kubwa ya Kikosi Kazi cha Rais ni kupata maoni kuhusu kudorora kwa Hali ya Demokrasia nchini lkn yenyewe imejikita zaidi kwenye upatikanaji wa Katiba Mpya.
Baada ya Kikosi Kazi kupendekeza katiba isubiri hadi 2025 wajumbe waligawanyika kuna wanaotaka mchakato uanze sasa na kuna wanaosema...
Hakika haiingii akili kumsikia katibu mkuu wa CCM eti anasema wananchi hawataki katiba mpya. Bw. Chongolo napenda nikukumbushe mchakato wa katiba mpya ulifanywa na tume ya Warioba na kina Polepole, Kabudi na wengine. Tume ya Warioba ilizunguka nchi nzima kukusanya maoni na mapendekezo ya Katiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.