tume za uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake. Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben. Kilichotokea baada ya taarifa za matokeo ya tume hiyo, alihojiwa kwanini amekwenda nje ya hadidu za...
  2. Hivi Tume za Uchunguzi zinazoundwa na Mamlaka lengo lake ni kutuliza upepo au kuzima matukio?

    Kwa miaka ya hivi karibuni kuna Ripoti nyingi zimewasilishwa za uchunguzi kuhusu matukio mbalimbali iwe ya vurugu, mauaji au tuhuma mbalimbali lakini changamoto kubwa ni kukosekana mwendelezo wa ripoti hizo ambazo huwa zinaundiwa Tume. Ninavyoona kuna matukio mengi ambayo yamezimwa kisiasa au...
  3. Kwanini CAG hatoi Ripoti ya Matumizi ya Tume za Uchunguzi?

    Imekuwa utamaduni wa kila siku,kusikia zikiundwa tume kuchunguza matukio kadhaa, yanayoleta kadhia mbalimbali ambazo huikumba jamii. Tume hizo huteuliwa na viongozi wa ngazi mbalimbali tofauti, kuanzia ngazi ya taifa hadi mikoani. Hii ikiwa ni kwa mamlaka wanayokuwa wamepewa kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…