Habar za majukumu ndug zangu,
Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake.
Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba
Halafu asilimia 98% ya maneno...
Habar za majukumu ndug zangu,
Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake.
Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba
Halafu asilimia 98% ya maneno...
Nimekua mfuatiliaji mkubwa sana wa masuala ya teknolojia hasa huu upande wa website na apps, pia nimejaribu kufanya utafiti mdogo wa Apps zilizopo Google play store Kutoka Tanzania aisee ni aibu tupu download rates ni ndogo mno nashindwa kuelewa tatizo nini apps hazieleweki au hazitoi suluhisho...
Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es salaam Ndugu Elihuruma Mabelya amekabidhi pikipiki 25 kwa Maafisa ugani wa Kilimo Jijini Dar Es salaam, akihimiza kutumia pikipiki hizo katika kuleta tija kwenye sekta hiyo muhimu kwa uchumi wa Tanzania.
Leo Ijumaa Disemba 06, 2024 wakati...
Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo.
1.Ufahamu wa Technology (Elimu)
yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
Bado uwanja Mtupu au mpaka hadi tusemwe ndio tununue tiketi,tulichozoea ni kunywa supu ila Azam na Tabora wamekatia ham ya supu. 😭😭 Tukutane kesho uwanjani mashabiki wa Yanga Sc 💚
Sisi watu Wasio waadilifu
Wasiosoma
Mapato na Matumizi
Hao tunawapigia chapuo wawe Viongozi wa kumuongoza fukara na kumuinua kiuchumi.
Watu wenye uwezo tunawawekea zengwe na kuwapachika sifa za hovyo wasizo kuwa nazo .
Kisha matatizo yakitokea tunajitokeza hadharani bila aibu Wala haya...
Ndugu zangu licha ya utititiri wa waalimu wengi kuhutimu vyuo mbalimbali lakini wengi wao wapo tu mitaani wapiga miayo, huku shule nyingi za private zikienda nje ya nchi kusaka waalimu.
Mzazi ukienda kutafuta shule kwa ajili ya mwanao basi sifa utakazopewa kuhusu shule husika basi utaambiwa...
Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao.
Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo.
Kuna wanaume wao ndo wanataka wawe dominate kwa 100% yaani huna Cha kumwambia, neno lake ndo katiba huyu...
Njooni mbishe kama ni uongo.Mwanaume ni kiumbe wa ajabu sana.Anapoona jinsia ya kike iwe ni picha au mwanamke halisi ambaye ni mrembo ataishia kumsifia na kumtamani bila hata kijiuliza background ya huyo mwanamke.
Mfano mwanaume kaona mdada mzuri barabarani awe mwanachuo...
vita ya kikanda ya inayopiganwa ulaya iliitwa vita ya dunia
vita ya pili nayo inajumuishwa kuwa ni ya kidunia
mikataba wanayotunga wao inajulikana kama mikataba ya kimataifa
huku kwetu tukipigana kidogo wanaingilia kati ila kwao wanatafuta upande wa kujiweka huku wanasapoti vita.
tunachofeli...
Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida:
Ugali dagaa tembelee,
Chai na vitumbua vya mama salma mtaani,
Wali...
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana...
Naongea hili baada ya kuachana na dogo wa miaka 22 kanifata nimpe ramani ya maisha kumdadisi kaniambia Baba na mama yake hawaishi pamoja kitambo.
Baba Hana sauti kwa mama wa kambo akiomba msaada wowote wa kuendelezwa baba anamsikiliza mama wa kambo.Baba anasema Hana hela wakati watoto wa mama...
Waafrika ivi tulivyo sisi ni mipango ya Mungu au ni upumbavu wetu tu. Unajua Mara nyingi najiulizaga.
Hivi Hawa wenzetu weupe walimpa Mungu nini mpaka awabariki ivi. Au kuna Siri gani ambayo wanajua kuhusu ulimwengu huu lakini wanatuficha sisi watu weusi.
Kila kukicha wao ndo wakuvumbuwa vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.