Waafrika wenzangu,
Tupo katika enzi ambapo, kama Waafrika, tunapaswa kufikiria Afrika kwa ujumla badala ya vipande vipande. Tunahitaji kushirikiana, kujadiliana, na kujenga mustakabali wetu kama bara moja. Katika kufanikisha hili, naona umuhimu wa kuwa na sehemu maalum kwenye JamiiForums...