tunaibiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli! Uwanja huu eti umekarabatiwa kwa 1. 5 Billion?

    Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli! Uwanja huu, ambao umekarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5, hauna thamani yoyote. Inashangaza jinsi uongozi wa Manispaa ya Moshi unavyoweza kutufanya tuone kama tumepigwa kichefuchefu kwa jambo hili...
  2. K

    DOKEZO Tozo za ushuru wa Uchafu, Halmashauri ya Mji Bariadi - Simiyu hatuzielewi, tunaibiwa? Tunaomba ziwekwe wazi

    Habari za wakati huu. Mimi ni mkazi wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, na ni Mfanyabiashara wa hapa mjini Bariadi ambako ni makao makuu ya Mkoa wa Simiyu, lakini makazi yangu yapo hapa hapa Mjini. Hivi Karibuni uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, ulileta mzabuni mpya wa kukusanya taka...
  3. TODAYS

    CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
  4. Lady Whistledown

    Juma Nature: Tunalipa michango ya Ulinzi Shirikishi, kwa nini bado tunaibiwa Mitaani

    Kupitia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram, Mwanamuziki Juma Nature amepost Video akizungumzia suala la Ulinzi Shirikishi maarufu kama Sungusungu au Makamanda na Usalama wa Mitaani Nature amehoji kuwa kwanini licha ya Wananchi kuchangishwa fedha za Ulinzi, bado vitendo vya Wizi wa Mitaani...
  5. sifi leo

    Waziri Nape, tusemeje ili uelewe kuwa mitandao kama Vodacom wanatuibia?

    Yaani asubuh nmetumiwa ujumbe nadaiwa 6070 ya songesha nimelipa 3000 Kati ya hiyo niliyoombewa Naambiwa nadaiwa 16000 na zaidi aise hawa jamaa ni wezi balaaa. MH Nape nipo tyr kukupa ushirikiano ili kukomesha wizi huu. Staki kuamini yakuwa upo nyuma ya wizi huu tafadhali jumbe zao.
  6. R

    Majuha mengine haya hapa, ndiyo maana tunaibiwa

    sikiliza hii === Wakati mamlaka nchini Kenya zikiendelea kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata. Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8, 2023...
  7. M

    Kitwanga: Bei ya mafuta ilipaswa kushuka ila tunaibiwa na wanaCCM

    Duh
  8. Analogia Malenga

    DOKEZO Ndege za Dubai zinaendelea kutua Serengeti! Tunaibiwa

    Maasai walituma ushahidi wa ndege kubwa isiyo na alama ikitua na kuruka kutoka Pololeti == https://www.jamiiforums.com/threads/msigwa-hakuna-ndege-inayobeba-wanyama-mwenye-ushahidi-alete.2055025/
  9. ommytk

    Kwa wanaoagiza mchanga au kokoto tunaibiwa aisee kumbe uwa wanapunguza njiani kuna vituo

    Yaaani leo kuna kitu nimejifunza kwa wale wajengaji hii sijui kama mnaijua aya malori liwe la mchanga au kokoto yana utaratibu wana vituo njiani. Wanapunguza mzigo ule ambao wewe uliagiza na ushalipia yaaani wanaoaki wanatoa turubai wanapunguza mzigo wa kutosha wakija site kwako wanafikia...
  10. M

    Ni harufu ya ufisadi tu! Mikataba mikubwa ya trilioni ya pesa haiwekwi wazi na wala Bunge hatusikii likihusishwa. Tunaibiwa tushtuke kabla ya 2025

    Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu. Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge. Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana...
  11. Magazetini

    Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  12. Napoleone

    Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

    Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye instagrm she is veeeeery light skin. Ila sasa huyu dada had naandika uzi huu asubuh leo mara ya 3...
Back
Top Bottom