sikiliza hii
===
Wakati mamlaka nchini Kenya zikiendelea kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata.
Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8, 2023...