Wakuu, salaam zenu!
Moja kwa moja kwenye mawazo yangu. Nimefikiria sana, style ya Mh. Tundu Lissu, ya kuutaka Uenyekiti wa chama chao, nimeona inaweza kuleta athari fulani.
Yeye mwenyewe amesema, ameshawishiwa na wadau, agombee hiyo nafasi! Sina shaka, baada ya hao wadau kuona aliyepo HATOSHI...