Tundu Lissu amekuwa akihusishwa na matukio na matamshi ambayo yamezua mjadala ndani ya CHADEMA.
Miongoni mwao ni kauli yake kwamba tayari amekusanya fomu za urais kwa uchaguzi wa 2025, jambo ambalo limeleta mgawanyiko na mjadala kuhusu uongozi ndani ya chama.
Pia, alitaka chama kimjibu...