Kwanza kabisa Tundu Lissu anashangaa watanzania kufurahia madhila aliyopitia ikiwemo kupigwa risasi wakati na yeye alikuwa anafurahia madhila iliyokuwa inapitia nchi ikiwemo kukamatwa kwa ndege na alikuwa anamtukana rais waziwazi kabisa.
Pili Tundu Lisu alitangaza Hayati Magufuli amesafirishwa...
Nimejaribu kupitia kumbukumbu zake mbalimbali mitandaoni na magazetini tangu akiwa mwanasheria wa Mazingira hadi Siasani NCCR na sasa Chadema kiukweli sijakuta Uwongo wa huyu Mwamba
Ni nadra sana kuwapata wanasiasa wa aina hii Katika Dunia ya Leo
Nimekuwa nikiwafuatilia sana Tundu Antipas Lisu...