Kwa mtazamo wangu upepo ulivyo Mbowe ana nafasi ndogo ya kushinda na kama kweli anatembeza pesa na kukafanyika janja janja akashinda basi chama kitapasuka vipande vipande.
Pia haijalishi nani atashinda, kwa jinsi mambo yalivyo bado kutakuwa na mpasuko maana watu watabaki na vinyongo na wengine...