Kama uchaguzi wote unasimamiwa na chama, huu mchango unalenga nini kama si rushwa?
Chama kimelipia uchaguzi wote.
Pesa hii haitamika kuhonga wajumbe na kusambaza propaganda dhidi ya chama?
Kitendo cha kuinuka na mabilion ya pesa kumpelekea mtu kwa Dunia hii leo iliyojaa uchu, tamaa, ufisadi, ujambazi, laana plus njaa ya kila namna na shida na mahangaiko ya kila namna na akazikataa lazima uogope sana.
Watu wanauza mpaka bandari za nchi ili wapate pesa, lakini kwa Tundu Lissu...
"Nawajulisheni kwamba nimeandika barua kwa katibu mkuu, nimeondoa kusudio la kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chadema Tz bara, na nimewasilisha barua ya kugombea uenyekiti wa chadema Taifa" Mh. Tundu Lissu
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru
Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm
Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Club house ameweka wazi kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimeanza kupokea Ruzuku Mwezi huu uliopita.
Makamu huyo nguli wa sheria na siasa bora Tanzania ametumia nafasi hiyo kuwapongeza watanzania waliokiunga mkono chama hicho kikiwa...
Habari ndugu wadau.
Nilisikiliza hotuba ya TUNDU LISU Sept 7 siku ya kumbukizi ya miaka 5 tangu jaribio la kutaka kumchomoa nafsi.
Katika hotuba yake ambayo kimsingi inavutia sana alitaja mambo mazito sana.Kimsingi watanzania hatujazoea kusema ukweli ata kama ni Mchungu, tumezoea kupaka rangi...
Wsalaam wanajamvi,
Case ya Mbowe kuhusu ugaidi imekuwa na mvuto wa ina yake kabisa na wengi wamekuwa wakiitazama kwenye jicho la siasa kuliko kisheria pamoja iko mahakamani. Kwenye hili nami na kubaliana na wao wanao itazama kwa jicho la kisiasa hata kama imekwenda mahakamani na ni wazi kabisa...
Ndugu zangu,
Kipekee, napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai siku ya leo.
Mh. Tundu Lissu namfuatilia kwa umakini sana, tangia aanze kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini, ni kama vile anafanya kampeni tayari. Japo mimi siyo mwanasheria, ila kwa kumsikia tu, ndugu huyu anafanya kampeni...
Tuwekane sawa kidogo kuhusu mambo ya uongo ambayo ameongea ndugu TUNDU LISU mgombea uraisi kwa nafasi kupitia chama Cha demokrasia na maendeleo.
HIFADHI YA TAIFA YA BURIGI
Mwanzo kabisa hi hifadhi ya taifa ya burigi kabla kupandisha hadhi kuwa hifadhi ya taifa ya wanyama pori, Lili kuwa ni...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mwibara kwa kipindi cha miaka 10 mfululizo kuanzia mwaka 1995 hadi mwaka 2005 Mheshimiwa MUTAMWEGA MGAYWA amepitishwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi octoba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.