tunduru

For the Mozambique park see Tunduru Gardens; for the village in Mtwara Region of Tanzania see Tunduru, Mtwara.Tunduru is a town in Tunduru District, Ruvuma Region, Tanzania, East Africa. It is the administrative seat for Tunduru District, and is administratively divided into two wards; Mlingoti West (Mlingoti Magharibi) and Mlingoti East (Mlingoti Mashariki).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mgawanyo wa majimbo Tunduru

    Kumekuwa na mchakato wa ugawaji wa majimbo ya uchaguzi hasa ya ubunge kwa kuzingatia vigezo vilianishwa na serikali Kihoja kimejitokeza katika Halimashauri ya Tunduru ambayo ina wakazi takriban 400k, wabunge, madiwani na hata viongozi wa Halmashauri wameacha kutekeleza mchakato huo kwa kigezo...
  2. RUWASA Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo

    WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo ambapo Wilaya hiyo yenye majimbo mawili ya Uchaguzi Tunduru Kusini na Kaskazini imepata mradi wa visima 10 vitakavyogharimu zaidi ya...
  3. S

    KERO Shida hii ya Umeme Tunduru mpaka lini?

    Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa 1744 jioni. Mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote kutoka Tanesco.
  4. LGE2024 ACT Wazalendo yashinda vijiji 4 Tunduru

    Wakuu, Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Uenyekiti wa kijiji kwenye vijiji vya Ligoma, Chikomo, Mbesa na Amani vilivyopo kwenye jimbo la Tunduru Kusini, mkoani Ruvuma. Ikumbukwe kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa umefanyika jana tarehe 27 Novemba, 2024 Tanzania bara. Kupata taarifa na...
  5. LGE2024 ACT Wazalendo Tunduru: Kuna vijana wamepangwa kupiga kura za mapema, tunawaonya...

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza Jumapili, Novemba 24, 2024, kwenye mkutano wa kampeni...
  6. Judith Kapinga: Serikali inaunganisha Mtwara na Lindi kwa umeme wa gridi kutokea Songea kupitia Tunduru, Masasi -Mahumbika

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Novemba 04, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la...
  7. Pre GE2025 ACT Wazalendo kushiriki kujenga daraja Mto Mnenje, Tunduru

    Wakuu, Mambo yanazidi kupamba moto majimboni, sasa hivi kulalamika kunapungua, wanaanza kutumia mbinu zao. ===== Chama cha ACT Wazalendo kimetoa mchango wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mnenje linalounganisha Kijiji cha Mnenje na Kitongoji cha Mtandika Wilayani Tunduru...
  8. Rais Samia aidhinisha Bilioni 246 za maendeleo Tunduru

    Rais Samia atoa bil. 246 maendeleo Tunduru
  9. Rais Samia na Waziri Mchengerwa wamedanganywa Tunduru

    Nimemsikiliza Waziri Mchengerwa na Rais Samia kuhusu wagonjwa kusafirishwa kwenye matenga Kata ya Mchoteka Wilayani Tunduru na kujiridhisha kuwa WAMEDANGANYWA, hawajapata picha halisi. Kwenye maelezo yake, Mchengerwa anazungumzia uwepo wa ambulance Tunduru. Hili halikuwa na ubishani. Hata wale...
  10. Rais Samia Azindua Soko la Madini ya Vito na Dhahabu Tunduru

    RAIS SAMIA AZINDUA SOKO LA MADINI YA VITO NA DHAHABU TUNDURU -Ni soko la Madini la 43 nchi nzima -Apongeza ushiriki wa sekta binafsi -Waziri Mavunde aelezea ukuaji wa makusanyo ya maduhuli 📍Tunduru, Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua...
  11. Naomba kujuzwa ratiba za minada ya Lindi na Tunduru

    Habari zenu wandugu? Naomba kujua kuhusu ratiba za minada ya Lindi na Tunduru? With much thanks in advance.
  12. S

    Ucheleweswaji wa malipo kwa wakulima kutoka kwa vyama vya msingi imekua kero sana baadhi ya Wilaya mkoani Ruvuma ikiwemo Tunduru

    Hi Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu. Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote. Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa...
  13. B

    Namiungo, Tunduru maeneo yageuka chemchem

    Kata ya Namiungo Tarafa ya Tunduru wapitia changamoto baada ya maeneo yao kugeuka chemichemi pia vijito vingi vya maji kuibuka na kusababisha nyumba kupata nyufa hadi kuanguka huku vyoo vikiwa vimejaa maji na kufurika kutishia magonjwa wa mlipuko ya maambukizi kama kuharisha n.k Shule baadhi ya...
  14. S

    Chiza Marando, Mkurugenzi Halmashauri ya Tunduru na PS wako toeni barua za uhamisho za watumishi, kwanini mnazificha?

    Ndg Chiza siyo Chizi Marando na PS wako aitwaye Prisca Nyoni mmekuwa na tabia za watumishi hasa zinazohusu uhamisho, mnakaa nazo hata zaidi ya miezi 6, kwanini? Mnajua sababu kwanini mtumishi husika aliomba uhamisho? Kwanini mna roho za kikatili hivyo? Je huo ndio mwongozo wa kazi zako...
  15. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi Shinyanga

    MTATIRO AKABIDHIWA MIKOBA SHINYANGA Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Wakili Julius Mtatiro ameripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi ili kuanza majukumu ya Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Katika kikao kifupi cha makabidhiano ya ofisi, kilichohudhuriwa na Kamati ya Usalama ya...
  16. S

    DOKEZO Waziri Mchengerwa huyu mkurugenzi wa Tunduru, Chiza Marando na PS wake Prisca Nyoni wananyanyasa watumishi

    Waziri wa TAMISEMI huyu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru akishirikiana na personal secretary(PS) wake wanawanyanyasa sana watumishi hasa walimu. Huyu PS anaficha barua ya mtumishi hasa inayohusu uhamisho. Kuna mwl alipata uhamisho kutoka TAMISEMI mwaka jana alikaa na barua ya...
  17. D

    Pamoja na mtambo no 9 kuwashwa, na kuwekwa, megawati 235, tatizo la umeme lazidi kuongezeka Tunduru

    Hali ya umeme, kukatika kila saa imeendelea kuwa tatizo gumu na mfupa mgumu katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma licha ya, Serikali juzi kutangaza kuwasha mtambo no 9 na kuweka megawatt 235 katika gridi ya Taifa. Baadhi ya, wakaazi wa Tunduru wameonyesha wasiwasi wao mkubwa kwa shirika la...
  18. Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Wakili Julius Mtatiro, ameendelea na ziara ya kuwasaka watoto wachache ambao hawajaripoti wilayani Tunduru. Mtatiro ametekeleza wajibu kwa kuzitembelea familia tatu ikiwemo familia ya mtoto Zawadi Mustapha Chiwaulo (miaka 14) ambaye anapaswa kuripoti Shule ya Sekondari...
  19. Ruvuma: Barabara kuu ya Mangaka - Tunduru yafungwa kwa muda. Ni kutokana na mvua zinazonyesha

    Tunduru - Ruvuma Kutokana na mvua kubwa zinazonyesha ukanda wa Morogoro na Selous, daraja kubwa la Mto Muhuwesi lililoko hapa Tunduru limejaa maji hadi juu ya daraja na kwa hiyo tumechukua uamuzi wa haraka wa kufunga barabara kuu ya Mangaka - Tunduru Mjini kwa muda. Eneo la barabara...
  20. Tunduru: Wafanyabiashara 28 washikwa na kuachiwa kwa dhamana kwa kuuza bei ya juu sukari

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema mara baada ya Serikali kutoa muongozo wa bei elekezi ya sukari uongozi wa Wilaya ukafanya vikao kwa ajili ya kutoa mwelekeo. Amesema “Kwanza ilikuwa kupata orodha ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…