Mapenzi ya leo pesa..usikubali kudanganywa,
Usipo kua na pesa..mapenzi yatakuchanganya,
Yaani bila hata kupepesa..mke utanyang'anywa.
Kama bado huna pesa, hebu anza kupambana,
Tena acha kujichosha, kutafuta vimwana,
Tafuta iyo pesa, uepuke kutukanwa,
Ukishafanikisha, utakula walo nona...