Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani, wengine mkopo, wengine ni mgao fulani, wengine wanagawiwa kama zawadi n.k
Kama mimi ningebahatika...
VIWANJA, VIWANJA.
viwanja vinne vikubwa vinavyouzwa katika eneo la Turiani, Morogoro vyote vipo block b karibu na barabara kubwa,Viwanja hivi vina ukubwa wa square meter 1150, 1270, 1149, na 2478, vyote vina hati . Viwanja vimezungukwa na huduma muhimu kama maji, hospitali, na umeme.
Viwanja...
Wadau salaamu!
Noamba ushauri kuna fursa gani maeneo ya turiani (mvomero) hasa katiak upatikanaji wa mifugo hasa mbuzi, ngombe na nguruwe? Na pia fursa gani nyingine naweza kuwekeza huko na zikaniletea faida. Nimepata shamba huko na nahamia mwezi huu.
Natakunguliza shukurani
Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni
Siasa?
Tanesco?
Maji?
Gesi?
Mitambo chakavu?
Hujuma?
Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc
Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani.
Je, Yanga ataweza kuibuka na alama zote tatu ugenini? Mpira dakika 90, tukutane hapa kwa updates za...
Kuhusu Chita, Mlimba, Turiani, Mngeta, Mbingu, n.k mkoani Morogoro
Habari wapendwa na poleni kwa majukumu ya kila siku!
Baada ya salam niende kwenye jambo husika. Kuhusu hayo maeneo tajwa hapo juu na mengine yafananayo na hayo kwa kilimo cha mpunga hapa tz, napenda kufahamu kutoka kwa wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.