turudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Turudi Eden.

    Dinner ya Adam na Hawa.
  2. FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Gusa. Achia. Twenda kwao. Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi. Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali. Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
  3. Lema : Siasa sio biashara turudi kwenye kusudio letu

  4. Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  5. Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  6. Turudi nyuma kidogo mgogoro wa DP World

    Unganisha Dots, utagundua Uteuzi wa Kitila Mkumbo una maana gani, taifa lilianza kutengenezwa na kuwambwa tangu tulipotangaza mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Zingati tarehe ya mkutano huu, mipango ilipikwa miaka mingi nyuma... Kwamsiojua hawa ndio walimtengeneza Magufuli akakataa mradi...
  7. Twende mbele turudi nyuma, hili lizee la Wagner kuongoza Urusi ingekua majanga kwa dunia

    Japo binafsi nimeshabikia huo uasi, lakini nisingependa hili lizee la Wagner kutwaa uongozi nchi ile, ni hatari sana, ligaidi tena liuaji lisilokua na huruma mithili ya wale magaidi wa dini. Kuongoza nchi yenye silaha za nyuklia zisizopungua 5,000 aisei mbona tungeona shetani kwa macho. Bora...
  8. SoC03 Turudi tulipotoka tuwajibike vyema

    Mimi ni mwanazuoni kutoka chuo Fulani, niko na maendeleo mazuri sana kielimu, ninaona nuru kila siku. Lakini haya yote yametokana na jitihada kubwa za wazazi wangu na malezi bora kutoka kwa walimu na walezi wangu tangu shule ya msingi. Nilipelekwa shule za bweni tangu nikiwa mdogo, kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…