Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo:
Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu.
Wanaojifanya Afisa wa TRA:
Unakuta mfanyabiashara anapigiwa simu na mtu anaejitambulisha kama mfanyakazi wa TRA...
Wakuu
Kama ilivo ada na utamaduni wetu Toa kitu upate kitu.
Siku ya nane nane mwanza niliona nguruwe wazuri Large white na wengine wa kisasa ila sikupata wazo la kuchukua no .
So kama kuna mtu alichukua no zao hawa wauzaji aniandikie hapo
binafsi nilichukua no za mbwa
Ila nilichukua namba za...
Habari wanajukwaa,
watu mnaoshiriki interview za kazi kama muombaji, HR au kama mratibu wa interview na kadhalika tunaomba mtusaidie tujifunze na kujiandaa vizuri. Ni ujuzi/skill gani ambayo umegundua watu wanakosa wanapoenda kwenye written au oral, au practical interview za kazi mbali mbali...
Habari za wakati huu!! Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Engineering in Civil (uhandisi wa ujenzi) mwaka huu kutoka chuo cha DIT. Miaka kadhaa nyuma nilipomaliza elimu ya diploma (2017) nilifanya kazi katika kampuni tofaufi tofauti za ujenzi.
Kwa sasa mara baada ya kutoka chuo nimefikiria kufanya...
Hivi kwa Maisha magumu hasa ya Kijijini ya kuanzia Wazazi na Watoto (hasa wa Shule) inawezekana kweli Mtoto Mdogo (Mwanafunzi) ambaye katoka Kwao labda hata hajanywa Chai na hajui Mchana wake utakuwaje akirejea akapata Uthubutu wa kunipa Mimi GENTAMYCINE Zawadi ya Shilingi 50 za Kitanzania na...
Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi
Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
Wakuu nina ndugu yangu ana kisukari mwaka wa tano sasa toka agundue kuwa ana huo ugonjwa
Afya yake kimuonekano yuko poa kabisa huwa anatumia sindano na dawa lakini tunatafuta kama kuna uwezekano wa kutibu akapona kabisa
Wakuu humu kuna siku katika kusoma comments mbalimbali nilipata kusoma ya...
Nimevumilia tunavyonangwa wanaume sasa unyonge basi..Mwanaume akimwaga mbegu ndani ya dakika2 mnasemavanatatizo,je mwanaume unayemsuguwa ndani nje mara10tu ameshakojowa ndani ya dakika2 na anasema amechoka tusemeje?
kubeti ni tamaa ya kutoa kidogo na kupata kingi ndani ya muda mchache imetufanya vijana wengi tuishi kwenye dibwi la kubahatisha na kutaka vya haraka mpaka wengi wetu hudondokea kwenye madhara ya ushoga na liwati.
Jamii inaharibika kwa kuwa betting inadhoofisha akili na vijana wengi hatufanyi...
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia...
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Habari.
Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame.
Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
Naam waungwana, hebu mnisaidie labda na wengine pia. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Jumanne Muliro alistaafu rasmi mwaka jana. Kwamba siyo askari kiongozi tena. Akaongezwa miaka miwili.
Swali langu. Je, akitoa amri kwa sasa na amri hiyo ikaleta madhara kwa umma au askari...
Hali sio nzuri ni Mwaka sasa tangu nimevunja mahusiano kutokana na sababu za kutokua na amani katka mahusiano.
Leo tangu Mwaka ulivyoanza hata kabla mzazi wangu wa kike amekua akiforce niweze kuchukua mwanamke nakuweka ndani nikajua au kwakua yupo kizamani zaidi pamoja nakumwelewesha yote hayo...
Habari wakuu, nguo ni mojawapo ya mahitaji matatu muhimu. Ni hitaji muhimu lakini bajeti yake nayo inabidi ichungwe hasa kwa kina sisi ambao bado uchumi haujawa stable.
Huwa nasikitika sana nimenunua nguo lakini nikifua tu mara mbili ama mara tatu ni hohe hahe, nguo inakuwa imeanza kufifia na...
Wasaalam ndugu zanguni,
Katika tafiti zangu ambazo nimekuwa nikizitafiti takribani miaka
isiyopungua kumi(10). Nimekuja kugundua kwamba hawa vijana wa hapa DSM ni mzigo usio wa kawaida.
Ukipita mitaa ya Mwananyamala, kigamboni, kimara, makumbusho , kinondoni yaani hawa vijana sijui wapo...
Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako!
Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo.
Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.