MBUNGE CHEREHANI: WALIMU TUSHIKAMANE KUTOKOMEZA ZERO USHETU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani amewataka walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga kuongeza jitihada ufaulu kwa Wanafunzi wote ili kutokomeza alama sifuri.
Rai hiyo ameitoa jana...
Salaam Wakuu,
Hivi inawekekanaje Mwanamke anakukalisha chini, anakupiga na mwiko huku kakukanyaga na mguu na ndani hajavaa kifuli, halafu mwanaume unalia kama mtoto mdogo?
Ni nguvu gani wanatumia? Kwangu nahisi haiwezekani nikiwa hai.
Nibwakati wa Wanaume tuamke tuwasaidie wanyonge.
Mkeo...
Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa kati ya jinsia zote, kutokana na dhuluma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine. Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi.
Waathirika wakubwa katika suala la usawa wa kijinsia...
Na Prisca Ulomi, WHMTH, Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa hakuna uongozi wa mtu mmoja, menejimenti ya mtu mmoja, tushikamane kwa pamoja kwa mafanikio ya Wizara ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika...
Watanzania tushikamane tukemee haya mambo,hivi inawezekenaje watu wazima wana kaa wanakubaliana kujenga barabara ya kilometer 1 kwa ghalama ya billion 5.
Hivi kweli tutafika kwa hali hii,madawa yatapatikana hospital, na huduma zingine zitawezekana gharama za maisha zimepanda,petrol, mafuta ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.