tusisahau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tusisahau no Diarra, no Musonda, no Max, no Chama, no Yao Yao but no problem!

    Ni wachezaji muhimu na mhimili kwenye kikosi cha kwanza lakini awapo kwasababu za majeraha lakini iyo aijafanya timu itetereke bali dhana nzima ya team work inafanya kazi! Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024 Timu inacheza...
  2. M

    Kelele na maoni yamekuwa mengi baada ya Yanga kupoteza lakini tusisahau hii ni ligi ya mabingwa na Yanga anakutana na mabingwa sio looser cup hii!

    Naona maoni na masimango yamekuwa mengi sana hasa hasa kutoka umbumbuni baada ya yanga kupoteza dhidi ya Al hilal lakini nawakumbusha tu hili ni kombe la wanaume haswaa sio kombe la washindwa! Yanga anapambana na mabingwa wa ligi zao sio washindwa walioshika nafasi za tatu na nne kwenye ligi...
  3. Sakata la Mafao: Wanakati Tunaangalika na hii Nusu Shari ya Sasa tusisahau Shari Kamili inayokuja

    Ni kweli mafao ya wastaafu hayatoshi (si wao tu asilimia kubwa ya wabangaizaji Tanzania either hakuna wanachopata na wakipata hakitoshi)...; Lakini wakati tunachemsha Bongo jinsi ya kuwarekebishia hawa kidogo kiwe kikubwa kidogo, ni vema tukaangalia ni vipi hatari inayokuja kesho ya wazee wa...
  4. Tusisahau vita vya Sudan, waarabu bado wanachinjana na kuwindana mji mkuu

    Jamaa hawachoki, yaani ndio kama wanaanza vile.............. Clashes involving armoured vehicles and heavy weapons continued between the Sudan Armed Forces (SAF) and Rapid Support Forces (RSF) across large parts of the Sudanese capital of Khartoum on Tuesday, especially focused on the SAF...
  5. Unaweza sema Mwakinyo ana msimamo, lakini tusisahau ni mtu wa visababu sababu

    "Ooh nimeshindwa kumpiga knockout sababu bukta yangu ilikuwa imenibama" "Ooh viatu vyangu vilipotea airport" Na mengine mengi mnayoyajua. Jamaa hata ongea yake na media ni mtu wa lawama sana, kujiweka katika njia ya kutupokea lawama yoyote ya jambo huku akitengeneza maneno ya kuomba...
  6. T

    Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

    Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime. Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground ) nikampima majibu ndio haya ana kaswende. Hakuamini macho yake.
  7. M

    SoC03 Goli la Mama: Tuendelee tulipoishia, tusisahau na kwingine pia

    Kwa miaka mingi kumekuwa na hali duni katika sekta ya michezo nchini na hii ikijumuisha michezo yote ikiwemo mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa mikono, mchezo wa ngumi, michezo ya madola, na kadhalika. Hali hii imekuwa ikipelekea maswali mengi kutoka kwa wadau wa michezo juu ya uwezo wa...
  8. Tunapopigania haki sawa, Tohara kwa wanawake, Ubaguzi wa rangi, nk. Tusisahau pia kupinga Utoaji wa Mahari

    Utoaji wa mahari ni utamaduni ambao umekuwepo kwa muda mrefu katika jamii nyingi za Afrika na sehemu nyingine duniani. Hata hivyo, kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kufanya utoaji wa mahari kuonekana kuwa ni utamaduni uliopitwa na wakati. Kwanza, utoaji wa mahari unaweza kuchukuliwa kama aina...
  9. K

    Tusisahau ripoti ya CAG imekuwa wazi kwasababu ya maelekezo ya Rais

    Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa...
  10. M

    Chadema hakijui mambo ya kufanya kama short run na haya ya kufanya kama long run vyote wanachanganya

    Nimemsikiliza Lema na wana Ufipa wengine bado naona Chadema hakijifunzi kwani ni wepesi sana kuhamishwa, hakina senta of interigensi, usemaji, mipango, mbinu, inafikia hatua wanasahau kama mwenyekiti anatupia ndoo. Huu ulikuwa wakati mzuri sana wao kutulia na kukiangalia kimbunga cha CCM na...
  11. Tupambane tujenge nyumba tuzipendazo, lakini tusisahau KUISHI

    Ujenzi wa nyumba za kuishi wenyewe una mambo mengi. Wapo wanaojenga dream house zao, wengine wanajenga kujisitiri tu na wengine wanakarabati nyumba za urithi kwa lengo la kuishi nazo moja kwa moja. Kwa vijana wanaojenga nyumba zao za kuishi lazima wanajinyima ili watoe kitu cha maana. Kibiriti...
  12. Tunaposhangilia sheria ya kumrejesha binti aliyezaa shuleni, tusisahau kuuliza haki ya yule mtoto mchanga aliyezaliwa anayebaki nyumbani

    Ni jambo jema tunapofanya kampeni ya kwamba watoto wetu waliopata mimba wakiwa mashuleni wakakatisha masomo warudi mashuleni kuendelea na masomo Lakini ni muhimu zaidi kujiuliza vichanga vilivyozaliwa vitabaki wapi? Na nani atakua akiwalea? Tukiachilia mbali zile familia chanche zenye uwezo wa...
  13. K

    Tukihamisha watu Ngorongoro tusisahau na Serengeti

    Wataalamu walishaona mbali. Tusipoangalia tutaua migration ya Serengeti. ========= Thirsty Serengeti wildlife to get new water hole: Lake Victoria Kizito Makoye DAR ES SALAAM Tanzania (Thomson Reuters Foundation) - After decades of struggling to help the wildlife of Serengeti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…