Ugonjwa wa UKIMWI sambamba na maambukizi ya VVU kwa dunia ya sasa siyo tishio kubwa sana kama ilivyokuwa miaka ya themanini kipindi ugonjwa huo ulivyoingia. Hii imekuja baada ya ujio wa ARV ambazo kwa kiasi kikubwa zimeweza kusaidia kufubaza VVU na kutoa tumaini jipya la maisha kwa watu...