tuungane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Starlink inasimikwa lini Tanzania? Tuungane kwa pamoja

    Wasalaam! Natoa rai, na niwakumbushe, tunahitaji huduma ya starlink kuliko kitu chochote Tanzania. Kwa sisi tunaoishi vijijini tutakuwa tumeponywa na ujio wa huu mtandao ukizingatia kwamba makampuni ya simu yameshindwa kufikisha huduma katika maeneo ya mbali. Nchi karibu zote Afrika tayari...
  2. Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  3. R

    Kwa hili limetokea Leo, Tuungane na Bella Kombo kuimba " Mbona kama naota"๐ŸŽผ๐ŸŽต๐ŸŽถ

    Hellow Tanganyika, Katika wimbo huu Kuna mashairi yasemayo, "Alipoturejesha tulikuwa waota ndoto, hatukuamini macho yetu*2๐ŸŽถ "Sio free mason, ni Mungu anetenda"*3๐ŸŽถ Sio mazingaombwe, ni Yesu amefanya"*5๐ŸŽถ Ameteeeenda Bwanaaa anetendaaaaaa*6๐ŸŽถ Siamini, siamini ,Leo amenikumbukaaaaaa*4๐ŸŽถ๐ŸŽต...
  4. Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  5. Wanachadema tuungane tumwambie Mwamba inatosha, asante kwa kazi nzuri mzee

    Kusema kweli katika siku ambayo nitachafukwa basi ni siku ambayo Mwamba ataamua tena kurudi ulingoni na kugombea muhula wa tano. Nitachafukwa sana niwe mkweli. Kama kuna siku nitampa Mwamba heshima yake basi ni ile siku atakayosema kuwa this time inatosha naomba nipishe damu mpya nibakie kuwa...
  6. Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

    Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na wasichana. Ukatili wa kijinsia sio tu changamoto ya mtu binafsi bali ni tatizo la kijamii linaloathiri...
  7. U

    Tuungane pamoja na tusome bila kuchoka Zaburi ya 109:8-14 dhidi ya wanaotaka kuliangamiza taifa teule la Israel

    Kichwa cha habari chahusika hapo juu Tuungane na tusome bila kuchoka zaburi ya 109:8-14 dhidi ya magaidi na ndugu zao wote wanataka kuliangamiza taifa teule la Mungu. โœ“"Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine. 9 Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane. 10...
  8. FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

    Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la kuongoza. 0-1
  9. Traders tuungane kwa pamoja kuwa komboa vijana wenzetu kwenye depression

    Habarini za saiz wakuu, napenda kutoa wito huu kwa Traders wenzangu....waje hapa tushare analysis. Nawasilisha.
  10. M

    Mgombea wa urais Iran: Waislamu tuungane kuitetea Gaza

    Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023. Mostafa...
  11. Watanzania tuungane kupinga mabaya haya ya awamu ya sita

    Kwa umoja wetu, Tukiamini sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Na kamwe watawala hawajawahi kuishinda nguvu ya umoja wa umma ambao ndiyo sisi watanzania, Tuungane kukemea, Kupinga na kuchukua hatua ikibidi kuwalazimisha kung'atuka au kutokurudia makosa kuwarudisha katika viti vyao wakati wa...
  12. Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
  13. Wafanyakazi wote nchi nzima tuungane na kufanya yafuatayo kuhusu vita ya kikokotoo

    Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua mamilioni yao kwa mkupuo wakijufanya wao ndio wenye akili zaidi ya kujua matumizi ya pesa kuliko wafanyakazi...
  14. Pre GE2025 Hata mkihairisha usafi uko palepale siku hiyo tuungane kusafisha jiji letu

    Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi usafi uko pale pale na tunawakaribisha kuwa pamoja usafi n afya Mungu ibariki Tanzania na watu wake
  15. B

    Pre GE2025 Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote

    1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha. 2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu! 3. "Mwabukusi, Mdude, Buberwa, Sauti ya Watanzania, ACT, CHADEMA, TEC, BAKWATA, MAIMAMU, Masheikh, Maaskofu, nk; fursa...
  16. Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

    Wakuu hali inatisha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa inaendelea kuteketea kila kukicha. Hali ni mbaya wakuu!
  17. P

    Kama wao wanavyoungana kwenye batili, na sie tuungane kwenye haki

    Shime wote wapenda haki, kama mnavyoona wao wameungana kwenye batili na dhulma na wizi wa mali ya serikali, basi ni wajibu wetu na sie tuungane kutetea na kulinda mali ya serikali yetu, waliiba sana miaka na miaka sasa, sasa mirija inazibwa wanadai kuwa tayari hata inchi isitawalike? Karibu...
  18. Wanaume tuungane kujenga mnara wa wanawake wenye Chuchu embe, Msambwanda konki, kichwa kidogo na kasura kazuri.

    Salamu tele, Hakika Mungu anaumba kwa utulivu unakutana na mademu wenye Chuchu embe + Msambwanda+ kichwa kidogo+ kasura kazuri Mungu akupe nini zaidi ya baraka zake na ufunuo wa raha, ladha na utamu wa mapenzi. Ni kwa hakika unajisikia una kaupako fulani ka mapenzi na kiu ya kupenzika...
  19. Ukatili huu wanaoufanya GSM dhidi ya Yanga SC haukubaliki; wana-Yanga tuungane kuupinga

    Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja? Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/- Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa 35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion Haki kila mauzo ya jezi moja...
  20. Watanganyika wote tuungane tulikatae hilo la waarabu

    Siyo kesho tena bali tuanze sasa! Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo. Huo msiba wa mkataba wa kuuzwa bandari yetu ya Tanganyika ni wetu sote Watanganyika na shime tuamke tuukatae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ