Wakuu leo nimeamka na kujikuta nikitafakari sana kuhusu mambo ya kifamilia hass yanahusu Baba na Mama. Nikiwaweka kwenye mizani ni kuwa Mama anapewa uzito mkubwa kuliko Baba. Kila upande wa hii dunia jina la Mama linatajwa mno. Ni sahihi kabisa. Kina Mama wana uzito mkubwa kwenye maisha yetu...
Mimi ni mwanazuoni kutoka chuo Fulani, niko na maendeleo mazuri sana kielimu, ninaona nuru kila siku. Lakini haya yote yametokana na jitihada kubwa za wazazi wangu na malezi bora kutoka kwa walimu na walezi wangu tangu shule ya msingi. Nilipelekwa shule za bweni tangu nikiwa mdogo, kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.