tuwapende

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tuwapende sana Mama zetu ila tuwe makini wanapotushauri. Tuchuje kwanza

    Wakuu leo nimeamka na kujikuta nikitafakari sana kuhusu mambo ya kifamilia hass yanahusu Baba na Mama. Nikiwaweka kwenye mizani ni kuwa Mama anapewa uzito mkubwa kuliko Baba. Kila upande wa hii dunia jina la Mama linatajwa mno. Ni sahihi kabisa. Kina Mama wana uzito mkubwa kwenye maisha yetu...
  2. SoC03 Turudi tulipotoka tuwajibike vyema

    Mimi ni mwanazuoni kutoka chuo Fulani, niko na maendeleo mazuri sana kielimu, ninaona nuru kila siku. Lakini haya yote yametokana na jitihada kubwa za wazazi wangu na malezi bora kutoka kwa walimu na walezi wangu tangu shule ya msingi. Nilipelekwa shule za bweni tangu nikiwa mdogo, kwani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…