tuzo ya goli bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    Sakho alichukua tuzo ya goli Bora, zilipigwa kelele nyingi lakini Mayele kafanya kufuru Makolo wanazipita habari zake Kama wanaaga maiti

    Fiston kalala Mayele wanayanga hatuna tunachomdai. Laiti Kama Mayele angekuwa ukoloni saivi wangemjengea sanamu pale Msimbazi Kama Pape Osumane Sakho na kigoli chake Cha kubahatisha ulikuwa ni wimbo wa taifa mithiri ya mgumba aliyepata ujauzito mate njia njia. Mfungaji Bora Nbcpl(Mayele)...
Back
Top Bottom