tuzo ya heshima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. itakiamo

    King Kiba apewa Tuzo ya heshima nchini Nigeria

    NXT Honors kutoka nchini Nigeria imemtangaza rasmi nguli wa muziki na Mfalme wa Bongo Flava Alikiba, kama mshindi wa Tuzo ya Heshima ya Maisha ya 2024, na kumfanya kuwa mtu wa kwanza asiye Mnigeria kupokea heshima hii kubwa. AliKiba ametajwa kama msanii mwenye mafanikio akiwa na zaidi ya miongo...
  2. Waufukweni

    Simba na Yanga zapewa heshima kwa mafanikio na mchango katika kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa zawadi kwa klabu za Simba na Yanga kama ishara ya kutambua mchango mkubwa katika kutangaza na kukuza chapa ya Ligi Kuu Bara ndani na nje ya bara la Afrika kutokana na mafanikio ya klabu hizo kwenye michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu.
  3. T

    Halima Mdee anastahili tuzo ya heshima ya uzalendo

    Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini. Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama Mzalendo, Mtetezi na Mpenda Nchi na Mlinzi wa Rasilimali za Taifa. Mchuano ulikuwa mkali baina ya...
  4. Nyendo

    DRC: Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo ya heshima ya M.T. Kasalu

    Mama Janeth Magufuli ametunukiwa tuzo DRC, tuzo ambayo hutolewa kwa wake wa viongozi wakuu na watu maarufu duniani. Tuzo hiyo ijulikanayo kama M. T. Kasalu aliyotunukiwa ni katika kutambua mchango wake kwa Taifa la Tanzania. Tuzo ya M.T. Kasalu hutolewa na taasisi ya Martha Tshisekedi Kasalu...
Back
Top Bottom