tuzo ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Companero

    Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu 2024-2025

    Wizara ya Elimu, Sayansi, na Teknolojia kupitia Taasisi ya Elimu ilizindua Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu mwaka 2022. Tuzo hiyo imekuwa na mafanikio makubwa. Mwaka 2023 na mwaka 2024 waandishi mbalimbali walishinda Tuzo. Mwaka 2025 inatarajiwa waandishi wengi zaidi...
  2. Roving Journalist

    Utoaji wa tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi wenye Ubunifu yafana

    Viongozi mbalimbali nchini na nje ya Tanzania, wamehudhuria hafla ya utoaji tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu. Hafla hiyo imefanyika leo Alhamisi 13, 2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Rais Mstaafu wa...
  3. Roving Journalist

    Prof. Mkenda: Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023

    Kilele cha Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kinatarajia kufanyika Aprili 13, 2023 Jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na waandishi mahiri kutoka nchi mbalimbali duniani. Hayo yamesemwa leo Machi 29, 2023 kisiwani Zanzibar na Prof. Adolf Mkenda, Waziri wa Elimu, Sayansi na...
Back
Top Bottom