Wakuu,
Tuzo za muziki Tanzania, Tanzania Music Awards zinafanyika leo 19 Oktoba pale Superdome Masaki ambapo washindi watatangazwa pamoja na performance kali kufanyika.
Wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo za mwaka huu ni pamoja na Marioo, Harmonize, Abigail Chams, Yammi, Zuchu, Nandy na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.