Diamond Platnumz
Diamond Platnumz usibabaishwe na tuzo za BET kwasababu soko la mziki Marekani limeanguka na Wasanii wake hawana mashiko kwa sasa. Mziki mzuri upo Africa kwa sasa ukishikiliwa na nchi ya Nigeria
Wasanii wa Marekani wameanguka sana na soko lao limedorora sana, hawana nyimbo za...
Tuzo za BET zilianzishwa mwaka 2001 na mtandao wa Black Entertainment Television, zikilenga kusherehekea mafanikio ya wasanii weusi na watu wa makundi mengine ya wachache katika muziki, filamu, michezo, na shughuli za kijamii.
Hafla hii ya kila mwaka hupeperushwa moja kwa moja kupitia BET na...
Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha
Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha, Tanzania, aliiwakilisha Afrika katika toleo la mwaka 2009 la BET Hip Hop Awards cypher, zilizorushwa Oktoba 27 kupitia chaneli ya BET huko Marekani. Huyu ndiye Mtanzania wa kwanza kushiriki katika tuzo...
1. Je, wale 'Washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa aliyeshindwa huko BET siyo tu Msanii Diamond Platinumz pekee bali hata Watanzania wote tumeshindwa?
2. Je, wale 'washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa Kitendo cha Diamond Platinumz Kuikosa hii Tuzo ya BET kuna Fursa kadha wa kadha...
Somo la leo UKWELI MCHUNGU KUHUSU BURNABOY .... ila wabongo hatupendi kuangalia FACTS kwenye mambo mengi. Mwaka jana BURNABOY alitoa album ya TWICE AS TALL na ilifanya vizuri sana na miongoni mwa wasanii na mfanyabiashara P.DIDY aliipa support kubwa sana maana anaujua uwezo wa BURNABOY...
Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema.
"The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one"
Diamond hayupo
Frontline in more...
Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie...
Hiki ndio kinachoendelea huko Twitter na mtandao wa change
Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others
This is a call to BET Awards hosted and produced by Black Entertainment Television (BET) to disqualify Diamond Platnumz
Diamond Platnumz is a world-renowned...
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...
Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa...
Sina shida kuhusu kumpigia campaign Diamond, kila mtu atachagua mtu wake wa kumpigia!
Shida yangu iko kwenye uandishi wa barua za kiserikali kuwekwa picha ya MTU na Katibu akaisaini kabisa.
Huu uandishi haukubaliki na naomba isijirudie tena.
Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima.
Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi...
Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021. Wanaharakati hawa wa CHADEMA wao wanampigia kampeni Burna Boy kutoka Nigeria ili awe mshindi.
Hivi...
Niaje niaje.
Kongole Kwa Mr Diamond Platnumz kwakuwa kwenye nomination ya tuzo kubwa za BET AWARDS. Sio Jambo dogo maana Kwa Afrika wako wasanii wengi sana ambao wanafanya muziki.
Karibu tumpongeze Mtanzania mwenzetu kwa safari hii ya kugombea hiyo tuzo maana kuipata ni issue nyingine lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.