Natazama hapa tuzo tajwa. Pamoja na tuzo mbalimbali kwa wachezaji na watu mashuhuri wengineo, mwanamuziki Diamond ametumbuiza.
Akiwa na 'madansa' wake, Diamond alitumbuiza wimbo wa Komasava. Alipomaliza, Diamond hakushangiliwa hata na mhudhuriaji mmoja ukumbini. Kwanini?
Yawezekana ni kwakuwa...
Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF )
Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu.
Baadhi ya vipengele hivyo ni;
Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume )
Golikipa bora wa mwaka
Timu bora ya mwaka...
Msanii nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, anatarajiwa kutumbuiza katika hafla ya ugawaji tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) itakayofanyika Desemba 16 kama Headliner
Pia, Soma: Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024
Hafla hiyo ya kifahari...
Wakuu vilabu vyetu vinaubonda mwingi Afrika!.
Klabu za soka za Simba na Yanga za Tanzania, zimetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya Klabu Bora mwaka 2024 kwa upande wa wanaume
Klabu hizi zimekuwa na mafanikio makubwa katika mashindano ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.