tuzo za grammys

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Rasmi Diamond aiwasilisha Komasava kwenye tuzo za Grammy. Tutatoboa?

    WCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho. Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance. Mnadhani atashinda mbele ya Burna Boy, Wizkid na magwiji wengine?
  2. BARD AI

    GRAMMYs 2023: Chris Brown hajapenda kukosa tuzo, DJ Khaled na Burna Boy watoka mikono mitupu

    Chris Brown ameonesha hisia za kutopendezwa na kitendo cha kukosa tuzo ya Grammy kupitia albamu bora ya R&B, kwa kueleza kuwa hajawahi hata kumsikia mshindi aliyetajwa ambaye ni Robert Glasper. Breezy ameonesha wazi kuwa hajapokea ushindi wa Glasper kwa roho nyeupe ambapo amepost kupitia Insta...
Back
Top Bottom