Kiungo wa klabu ya Simba, Jean Ahoua, ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25 baada ya kuisaidia timu yake kushinda michezo miwili, akifunga bao moja na kuchangia katika mabao mengine matatu.
Kocha wa Simba, Davids Fadlu, pia amechukua tuzo ya Kocha...
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki amechukua tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa 2023/2024.
Tuzo hii kwa Aziz Ki inakuwa tuzo ya tatu usiku wa leo, akiwa amechukua tuzo ya Kiungo bora wa msimu, Mfungaji bora wa msimu na pia ameingia kwenye kikosi bora cha msimu.
Aziz Ki alikuwa anawania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.