Hadithi ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) inazidi kupamba moto, na sasa tumebakiza siku tisa tu hadi wasanii wetu wapate fursa ya kutunukiwa heshima kuu kwa kazi zao za ubunifu. Tuzo hizi hazina maana tu ya kusherehekea ushindi, bali zinawakilisha moyo wa kujituma, ubora na vipaji ambavyo...
Baraza la Sanaa Taifa (Basata), limetangaza kuwa Tuzo za Muziki Tanzania 'Tanzania Music Awards' (TMA), 2023/2024, zinatarajiwa kufanyika Juni 15 2024.
Kauli mbiu ikiwa ni "Kubadilisha tasnia ya Tuzo za Muziki Tanzania na Afrika kwa namna ambavyo haijawahi kutokea".
Akizungumza na waandishi wa...