Tuzo za TFF zimeonyesha ni kwa namna gani timu ya wananchi ilivyokuwa bora msimu uliopita, walijipanga kwa usajili bora kuanzia kwa kocha mpaka Wachezaji.
Ukilima vizuri basi pia utavuna vizuri, uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mahindi ulichokipanda ndicho utakachovuna, tumeona wengine...
kilichotokea ni ubaya ubwela practical achana na zile theory za maandishi na kelele za vispika.
Kulikuwa na mkakati maalum wa kuitrendisha sold out ili kufidia maumivu ya tuzo za leo, faraja ya sold out kwa siku ya jana ilikuwa ni sawa na kuku wanaofurahia magunia ya mchele kumbe wananenepeshwa...
Kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo yake ya pili usiku wa leo ambapo amebeba tuzo wa kiungo bora wa msimu
Aziz ki amewashinda wapizani wake wa karibu Feisal Salumu na Kipre Junior wote wachezaji wa Azam FC
Mfungaji bora
Kiungo bora Ligi kuu
Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za...
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP).
Diarra amewashinda Khomein Abubakar kutoka Ihefu (Singida Black Stars) na Mohamed Mustafa kutoka Azam Fc.
Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya...
Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point.
Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya taasisi za Hovyo sana nchini
Matukio yaliyodhihirisha kuwa hii ni Taasisi ya Hovyo, kwenye kuandas...
Alhamis hii, Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024
ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga sc na Feisal wa Azam fc, maana hawa wachezaji wawili wameonyesha kiwango cha juu sana msimu uliopita.
Wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.