tuzo za tff

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hongereni Yanga kubeba tuzo saba za TFF, Sio kwa bahati mbaya bali ubora wenu ndio unaowabeba

    Tuzo za TFF zimeonyesha ni kwa namna gani timu ya wananchi ilivyokuwa bora msimu uliopita, walijipanga kwa usajili bora kuanzia kwa kocha mpaka Wachezaji. Ukilima vizuri basi pia utavuna vizuri, uwezi kupanda bangi ukategemea kuvuna mahindi ulichokipanda ndicho utakachovuna, tumeona wengine...
  2. W

    Asanteni Tuzo za TFF, Wadau wa soka hatuna Deni, tuzo pekee iliyoachwa ni ya sold out, muwafikirie mwakani wahusika wapate pa kujifutia machozi

    kilichotokea ni ubaya ubwela practical achana na zile theory za maandishi na kelele za vispika. Kulikuwa na mkakati maalum wa kuitrendisha sold out ili kufidia maumivu ya tuzo za leo, faraja ya sold out kwa siku ya jana ilikuwa ni sawa na kuku wanaofurahia magunia ya mchele kumbe wananenepeshwa...
  3. Stephane Aziz Ki Kiungo bora wa msimu 2023/2024

    Kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo yake ya pili usiku wa leo ambapo amebeba tuzo wa kiungo bora wa msimu Aziz ki amewashinda wapizani wake wa karibu Feisal Salumu na Kipre Junior wote wachezaji wa Azam FC Mfungaji bora Kiungo bora Ligi kuu Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za...
  4. Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA 2023/2024

    Mlinda mlango wa klabu ya Yanga Sc, Djigui Diarra ameshinda tuzo ya golikipa bora wa Michuano ya FA (CRDB FEDERATION CUP). Diarra amewashinda Khomein Abubakar kutoka Ihefu (Singida Black Stars) na Mohamed Mustafa kutoka Azam Fc. Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya...
  5. Tuzo za TFF 2024 What a Shame!

    Wakuu sana JF na wapenda Michezo, especially Football, Nisiwachoshe Msinichoshe niende kwenye Point. Tuzo za TFF 2024 zinazoendele kwa sasa zimeonesha ni jinsi gani hii Taasisi ni Moja kati ya taasisi za Hovyo sana nchini Matukio yaliyodhihirisha kuwa hii ni Taasisi ya Hovyo, kwenye kuandas...
  6. Leo ndiyo usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024

    Alhamis hii, Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024 ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga sc na Feisal wa Azam fc, maana hawa wachezaji wawili wameonyesha kiwango cha juu sana msimu uliopita. Wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…