tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanafunzi wa 14 kutoka Ethiopia ashinda Tuzo: Sabuni ya Kinga Ya Saratani ya Ngozi

    Mwanafunzi wa miaka 14 mwenye asili ya Ethiopia anayeishi USA, ameshinda tuzo na kuwagaragaza wana sayansi wengi wa vyuo vikuu nchini Marekani kwa kuvumbua sabuni yenye gharam ya senti 0.50 inayoweza kuzuia ugonjwa wa saratani ya ngozi...
  2. Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za Ballon d’Or 2023

    Usiku wa leo, kuanzia saa 3:00 usiku kutakuwa na hafla ya ugawaji wa Tuzo za Ballon d'Or pale katika ukumbi wa Theatre du Chatelet jijini Paris. Katika hafla hiyo, kutakuwa na mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume na upande wa wanawake. Vilevile, kutakuwa na tuzo ya golikipa bora wa...
  3. S

    Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

    Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
  4. Hongera Mama Zara kwa Tuzo ya Kampuni Bora ya Utalii Afrika

    Kwa mara nyingine tena mwanamama Zainab Ansell Mkurugenzi wa Kampuni ya uwakala wa utalii nchini Tanzania ya ZARA TANZANIA ADVENTURE ,amenyakua Tuzo ya kampuni Bora ya Uwakala wa utalii Afrika ijulikanayo kwa Jina la 'Africa's Leading Tour Oparetor . Tuzo hiyo imetolewa na World Travel...
  5. Serengeti yashinda Tuzo Hifadhi Bora Afrika kwa mara ya tano mfululizo

    Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Barani Afrika 2023, imeshinda tuzo hii kwa mara ya tano mfululizo, mwaka wa 2019, 2020, 2021, 2022, na sasa 2023. ================= Hifadhi ya Taifa Serengeti imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha Tuzo ya Hifadhi bora...
  6. Mbunge Rose Busiga akabidhi Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko

    MBUNGE ROSE BUSIGA AKABIDHI TUZO YA PONGEZI KWA NAIBU WAZIRI MKUU, MHE. DKT. DOTTO BITEKO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita, Mhe. Rose Vicent Busiga ametoa Tuzo ya Pongezi kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko kwa niaba ya Wanawake wa Mkoa wa Geita na tuzo...
  7. Watafiti 47 ambao wameshinda tuzo watangazwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza watafiti 47 kutoka taasisi za elimu ya juu za umma na binafsi, ambao wameshinda tuzo kwa kuchapisha matokeo ya utafiti waliofanya kwenye majarida yenye hadhi ya juu kimataifa katika nyanja za afya, sayansi shirikishi, sayansi asilia na...
  8. NADHARIA Kevin Carter alijiua baada picha ya kusikitisha aliyompiga mtoto akiwindwa na Tai kumpatia tuzo ya Picha bora (Pulitzer Prize)

    Kevin Carter alikuwa ni mpiga picha, sasa katika kazi zake alifanikiwa kufika Sudan na alikuta eneo fulani nchini Sudan likikabiliwa na njaa kali sana. Wakati anaendelea kuchukua matukio katika picha, alikutana na mtoto dhoofu mwenye utapiamlo aliyekuwa akikabiliwa na njaa kali pamoja na kiu...
  9. Mgonjwa aliyelazwa kwa miezi mitano atoa Tuzo kwa Wauguzi wa Wodi Namba 6 katika Taasisi ya MOI

    Mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba 6 “A” katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ametoa tuzo maalum ya kuwapongeza wahudumu wa wodi hiyo kwa huduma bora wanazotoa kwa wagonjwa. Mgonjwa huyo Godfrey Mushy alilazwa wodini hapo kwa miezi Mitano kuanzia Oktoba, 15, 2022...
  10. R

    TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

    Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
  11. TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

    Nikiwa naangali TV, kule kwenye mkutano wa mashirika ya umma. Mara ninaona wakati wa kupewa tuzo TPA wamepewa tuzo kama shirika lilinaloiingiza mpunga mrefu Tanzania baada tu ya TCRA. Kumbe TPA wanafanya vizuri kabisa, Waziri wa ujenzi kumbe alitudanganya. Again no tu uwekezaji TPA. TPA wapo...
  12. J

    Hakuna Rais wa Tanzania anayeweza kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim

    Habari wana jamvi, Nimetafakari mambo mengi kisiasa, mwisho nimeridhika kuwa hakuna Rais wa Tanzania awezaye kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim. Nimefikiria mambo anayo fanya Rais Samia, utadhani ameshahakikishiwa kwamba 2025 hatoboi. Anauza rasilimali za Nchi kwa bei chee, lakini za chini chini ni...
  13. B

    Benki ya CRDB yatwaa tuzo nne za kimataifa nchini Nigeria

    Lagos, Nigeria. Tarehe 1 Agosti 2023: Taasisi kubwa zaidi ya fedha nchini, Benki ya CRDB imenyakua tuzo nne za kimataifa za umahiri katika ugavi zijulikanazo kama Africa Procurement and Supply Chain Awards (APSCA) 2023 jijini Lagos nchini Nigeria. Benki yenyewe imeshinda tuzo mbili huku...
  14. Wizkid apewa Tuzo kwa kufikisha 'streams' Bilioni moja Uingereza

    Mwanamuziki huyo wa Nigeria anakuwa msanii wa kwanza kupata Tuzo ya Bilioni ya BRIT inayotolewa kwa Wasanii ambao wamepata zaidi ya mitiririko (streams) ya kidijitali bilioni moja Nchini Uingereza. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizkid kufanya shoo kubwa kwenye Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini...
  15. Yondo Kusala Denise (Yondo Sister), JamiiForums tunakupa heshima zako na tunauthamini mchango wako, hatuna tuzo, ila tuna uzi wako

    Yondo Kusala Denise (amezaliwa tar. 1 Januari 1958) ambaye anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Yondo Sister, ni msanii wa Kikongo. Wengi humwita "Malkia wa Soukous", "Tina Turner" wa muziki wa dansi barani Afrika. Yondo Sister amepata kuwa mwimbaji mkuu katika bendi ya Soukous Stars kwa...
  16. Dr. Kumbuka nguzo ya sanaa nchini

    MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI. Hongera sana Dr
  17. K

    Dr. Sigalla: Ushiriki wa Marie Stopes Tanzania katika Tuzo ya EJAT utasaidia kuondosha mitazamo potofu juu ya Afya ya Uzazi

    Dr. Geofrey Sigalla Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 zilizotolewa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Jumamosi ya Julai 22, 2023 ambapo waandishi mbalimbali walifanikiwa kubeba tuzo kwenye vipengele tofauti. Tuzo hizo ambazo ziliratibiwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT)...
  18. Utoaji wa Tuzo za Waandishi wa Habari za EJAT, Ukumbi wa Mlimani City, Julai 22, 2023

    Mgeni rasmi katika utoaji wa Tuzo hizi ni Balozi Ombeni Yohana Sefue. 1. Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Life Time Achievements Award) Tido Mhando Mshindi wa Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Lifetime Achievement in Journalism Award - LAJA 2023) 2...
  19. B

    Benki ya CRDB yatunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya

    Benki ya CRDB kwa mara nyingine imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya ijulikanayo kama ESQR (European Society for Quality Research). Tuzo hiyo imetolewa Jumapili, t Julai 9, 2023 jijini Brussels Ubeligiji, yalipo makao makuu ya Umoja wa Ulaya ambao hivi karibuni...
  20. Rais Samia, Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Mzee Karume Watunukiwa Tuzo za Heshima Katika Maadhimisho Miaka 60 ya JKT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Tuzo Maalum pia zimetolewa kwa waasisi wa Taifa letu ambao pia ni waasisi wa Jeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…