Ladies habarini za asubuhi, leo utani na masihara ya ushangazi naweka pembeni kidogo.
Nakusihi, tafadhali usikimbilie kuolewa na kuzaa. Chonde chonde, naona kuna nyuzi nyingi humu za kusakama wanawake wa over 30 na kuwaambia namna thamani zao zinavyoshuka kadri umri unavyozidi kwenda.
Hiyo ni...
Ghawizah,
Naomba msaada kwa yeyeto mwenye kuchora ramani anichoree ramani yenye sifa zifuatazo.
♤ Iwe ya vyumba vitatu(kimoja masta sio selfu tu), sebule na dinning.
♤ Iwe na public toilet.
♤ Kweny masta kuwe na nafasi ya kitanda ,kabati la nguo .
♤ Dinning iwe na uwezo wa kukaa meza ya...
Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone.
Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze.
Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
They say 'life begins at forty!'
Sasa kama wewe umeshafikisha miaka 40 au umebakiza siku au miezi kadhaa, hebu tujuzane ni nini umejifunza? Ni mangapi umefanikisha? Changamoto ni zipi za kusaidia wengine kupambana zaidi?
Karibuni sana legend.
Wazazi, hivi huwa mnaketi na watoto wenu na kuzungumza nao juu ya maisha Yao shuleni? J
uzi kwenye MITANDAO ya KIJAMII imesambaa video ikimuonesha Binti aliejulikana kwa Jina la "Mariamu" akimpiga mwanafunzi mwenzie Aliejulikana kwa Jina la "Namtira "sababu kubwa ikidaiwa kuwa karibu na "crush...
TCRA pamoja na haya makampuni ya simu ya Tanzania (Tigo, Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel,ttcl), miongoni mwa wateja wenu kuna hawa wenye mahitaji maalumu ambao ni viziwi kiasili. KIZIWI maana yake ni mtu ambae hawezi kuwasiliana kwa namna yoyote ile kwa njia ya sauti zaidi ya video call na sms...
Wanalenga nini hasa hili kundi?
Kumuomdoa incumbet mamlakani? kwa hoja na mipango gani...
Kupata nguvu na nafasi za kisiasa kwa kushiriki na kushinda uchaguzi?
Je wanatumia mbinu na mtindo gani wa mawasilianao ya wao kwa wao na kuwasiliana na umma?
Na je wanayo winning formular ya kushinda...
Huyu Askari aliyeyasema maneno haya ni wa busara sana. Mama Samia, Rais wetu- Muangalie huyu askari wako kwa jicho la husda kwa jinsi alivyotatua mgogoro huo. Nguvu na mabavu siku zote sio suluhisho.
Zungumzeni kwa stairi ya askari huo kama kweli zile R4 ni za ukweli... watu wana maumivu sana...
Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia.
Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza.
Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
Salaam nyingi kwa waiter🤣!
Imekuwa ada yaani kama kawaida mikoa yetu maarufu ya kula bata, Dodoma, DSM, Arusha, na Morogoro. Mabaharia tunakawaida ya kutimba viwanja bila hiana bila kelele tunakaa zetu kaunta na kula vyomboz.
Napenda demu pisi ambaye hana matako makubwa sana napenda size ya...
"Hili jambo la bandari limeshakwenda serikalini na bungeni, raia tukaulizwa maswali kidogo na tukajibu. Baada ya hapo jambo hili la bandari lilirudi bungeni na kupitishwa na Bunge. Kwa mujibu wa utaratibu wa kikatiba, limeshapitishwa na hivyo ni la kutekeleza. Hivyo sasa wanaposema tuzungumze...
Kabla hatujaenda kwenye maada ngoja tumsaidie maana ya e-commerce kwa asiefahamu:
(In a layman way) e-commerce ni uuzaji/ununuaji wa bidhaa au huduma kwenye mtandao mahala popote.
Mfano: Umekaa kwenye kochi unachukua simu/laptop unaingia mtandaoni unaagiza bidhaa unaletewa mpaka nyumbani kwako...
Jamani mimi ni mwanaume.
Umri wangu ni very late 20.
Natafuta mwanamke/msichana yeyote ambaye ni childfree by choice. Yaani yeye mwenyewe akiwa na akili zake timamu bila kusukumwa na mtu wala kuchagizwa na tatizo lolote la uzazi awe na ameamua kuwa childfree.
Mimi ni childfree by choice na...
Habarini na pongezi kwa kila mmoja na majukumu yake.
Hivi mtu kama mwana mme unapotaka kuanzisha mahusiano na mtu ( si yakimapenzi ) nazungumzia men to men relationship hapo kwako wewe unalenga nini juu ya hayo mahusiano.
Je, Huwa unalenga urafiki, network ya biashara au we uwa unaanzisha...
Hello guys!
Kama vijana naamini kila mtu ana ndoto na mikakati yake. Lakini wakati mwingine kwa nchi zetu hzi yaweza kuwa unajikuta imekuwa ngumu kuzifikia. Mbaya zaidi kila unapozifukuza huoni dalili ya kuzifikia.
Unajituma vyema tu kwa bidii na akili lakini bado hali inakuwa tete...
Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba.
Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
Mwaka huu imetimia miaka 17 tangu tumpoteze gwiji wa muziki mnamo mwaka 2004 na kuzikwa makaburi ya kinondoni. Nataka tujadili uwezo na mchango wa Ndala Kasheba kwenye muziki wa Tanzania.
Kwa kuanza nataka tuwekane sawa kuhusu baadhi ya kazi zake. Mfano wa Kwanza ni Wimbo wa kumuaga mama Maria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.