tv na redio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lethergo

    KERO Redio na TV Matangazo ya Kamari sasa hii hali imepitiliza

    Salamu Wakuu. Niende moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Hili suala la Redio na Tv na kamari sasa ishakua kero yaani unakuta kipindi cha Redio au kipindi cha Televisheni Mtangazaji mwanzo mpaka mwisho hakuna anachotangaza chochote kipindi kimepewa Jina jingine ila...
  2. W

    Mafundi tv

    Misaada. Kuna tv ya kichogo (universe) haipulizi kwenye FBT japo moto unaIngia volt 113. Nimebadili Diffection,holizont,na FBT lakini imegoma.naomba ushauri wenu.
  3. M

    Fundi Vifaa vya umeme

    Kwa matatizo yote ya TV, ( iwe imezima ghafla, imeungua taa, kioo haikionyeshi, picha ina vibrate, inaonyesha nusu n. K) karibu, tukudumie kwa gharama nafuu, kwa wakazi wa dar popote tunakufikia, pia tunatengeneza, subwoofer, radio, home theater na vifaa vingine vya umeme. Call/sms/whatsapp...
  4. mtamanyali

    Ushauri kuhusu vipindi vya radio na TV

    Wadau poleni na majukumu, Naombeni tushauriane kuhusu namna biashara ya vipindi vya radio na tv inavyoweza kumlipa mtu. Binafsi napenda sana kuwekeza katika media yaani naweza buni tv au radio program yangu then nikaenda kwenye media kuihost sasa sijajua kwa kina hasa naweza kufaidika kwa...
Back
Top Bottom