Hizi ni picha za mtandaoni.. Hivyo si lazima uagize nje kwa gharama kubwa ama uingie dukani
Ukipata vipimo sahihi kulingana na ukubwa wako na ukawapata mafundi mahiri basi unaweza kupendezesha sebule yako kea gharama nafuu sana
Hii series nasema ndiyo best kabisa imeigiza maisha watu wanavyokimbizana na hatima zao Kwa tamaa ya pesa
Ila kinachoniumiza kichwa hii series Kila mtu ALIESHIRIKI amechezewa mchezo 😁hata UKIITAZAMA TU umechezewa mchezo pia
Ukimuhadisia mtu ndiyo kabisa utaona tu unahadisia ujinga kila tukio...
Habari zenu
Karibuni seti ya TV show case na coffee table yake. Zimefka full seti n 370,000 Tu bei ya jumla. Tv show case pekee au meza pekee n 230,000. Zpo chache. Nafanya Delivery dar na mikoani. watsup/call 0767709486
Linapokuja suala la vipindi vya kusisimua vya televisheni, ni series chache tu zilizowahi kuacha athari kubwa kama series ya Breaking Bad. Series iliyobuniwa na director Vince Gilligan, hii ni hadithi ya uhalifu iliyoanza kuonekana kwenye skrini zetu mwaka wa 2008, na haraka ikawa ni ya kipekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.