twaha kiduku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
  2. Twaha Kiduku apigwa ubingwa wa mabara WBF;nilinyofoa video zangu zote YouTube Ili Twaha Kiduku hasizione-Bondia Asemahle Wellem.

    Twaha Kiduku is the most decorated fighter for now here in Tanzania kupoteza pambano kwa Msouth African kijana mdogo Asemahle Wellem"predator"kunatupatia picha ya kwamba boxing ya Tanzania bado ni ya mwaka 1947 wakati Power Ilanda na Power Mabula wakishindana kuvuta gari kwa meno,Twaha Kiduku is...
  3. Twaha Kiduku apigwa ubingwa wa mabara WBF;nilinyofoa video zangu zote YouTube Ili Twaha Kiduku hasizione-Bondia Asemahle Wellem.

    Twaha Kiduku is the most decorated fighter for now here in Tanzania kupoteza pambano kwa Msouth African kijana mdogo Asemahle Wellem"predator"kunatupatia picha ya kwamba boxing ya Tanzania bado ni ya mwaka 1947 wakati Power Ilanda na Power Mabula wakishindana kuvuta gari kwa meno,Twaha Kiduku is...
  4. Twaha Kiduku ampiga Victor Hugo wa Argentina kwa alama Novemba 25, 2022

    Bondia huyo Mtanzania amefanikiwa kupata ushindi wa Mkanda wa Dunia WBF dhidi ya Victor Hugo kwa pointi 99-91, 99-91, 99-91 katika pambano la uzito wa kati ‘Super middleweight lililofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Pambano hilo la Raundi 10 lilikuwa la ushindani mkali, Kiduku...
  5. Twaha Kiduku Vs Abdo Khalee | Ubabe Ubabe 2 | Nangwanda Sijaona, Mtwara | 24.09.2022

    Wakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri . Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora. 1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora wanaouonesha wakiwa nje ya Tz. . 2. Watafutiwe Mabondia wenye Ubora Zaidi. . Mabondia wengi...
  6. Twaha Kiduku kuhusu kuchapana na Mwakinyo ajibu “Ni yeye tu”

    Bondia Twaha Kiduku ni miongoni mwa watu waliohudhuria katika shughuli ya utoaji wa Tuzo za Tanzania Music Awards, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, Aprili 2, 2022. Mbali na mambo mengine, Kiduku alipoulizwa na mtangazaji akiwa...
  7. Kiduku anataka kucheza na Mwakinyo?

    Mashabiki wa Kiduku, Mwambieni bondia wenu sisi hatuchezi na bondia ambaye hajawahi kushinda nje ya Tanzania. Ili awe na sifa za kucheza na Mwakinyo kwanza Kiduku akacheze nje ya nchi ashinde, baada ya hapo tutasaini mkataba naye. Ngumi ndio kazi yetu [emoji123][emoji123] Lakini hatuchezi...
  8. Twaha Kiduku amtwanga Alex Kabangu wa DRC, ashinda Mkanda wa UBO

    Bondia wa Tanzania Twaha Kassim Lubaha anapambana na Alex Kabangu kutoka Congo DRC kushindania mkanda wa UBO Super Middle weight, African Title ambao hauna mwenyewe =================== Twaha Kiduku ampiga Alex Kabangu, ashinda Mkanda wa UBO, Mkoani Morogoro Bondia Mtanzania Twaha Kiduku...
  9. Serikali: Tunamuamini Twaha Kiduku, hatotuangusha

    SERIKALI imesema ina imani na bondia Twaha Kassim ‘Kiduku’ kuwa atafanya vizuri katika pambano lake lijalo la kimataifa dhidi ya bondia kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Alex Kabangu na kumtakia kila la heri. Kiduku anatarajiwa kupanda ulingoni Jumamosi hii katika pambano la raundi...
  10. Exhibition Fight Mwakinyo vs Twaha Kiduku

    Ili kuondoa kisingizio kisichokuwa na sababu ya msingi ya kumkwepa Twaha Kiduku. Ninashauri liandaliwe Exhibition Fight kati ya Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku. Exhibition fight hakuna bondia atakayepungukiwa chochote akipigwa na hakuna atakayetangazwa mshindi kama raundi za mchezo zote...
  11. Mwakinyo, Sina mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi

    Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius Indongo, kutoka Namibia Septemba 3, 2021 wakipigania mkanda wa African Boxing Union Super Walter Title...
  12. Tusilazimishe pambano la Kiduku na Mwakinyo

    Na K.S.K Heshima yenu wana jamvi, binafsi nimefurahishwa sana na ushindi wa kiduku kwa mara nyingine tena mbele ya dulla mbabe, na baada ya kiduku kubeba crown kumekuwa na hoja nying ya team kiduku wakimtaka/tukimtaka mwakinyo,binafsi sio muumin sana wa kutaka pambano hilo lifanyike mapema ešp...
  13. Ni wakati sasa Twaha Kiduku azichape na Mwakinyo

    Au mnasemaje wadau? ==== 9 Sep 2020 Bondia namba mbili kwa ubora Tanzania Twaha Kiduku amesisitiza kuhitaji pambano na Hassan Mwakinyo ili afahamike nani bingwa wa nchi. Kauli hii aliitoa wiki mbili zilizopita ameirudia tena siku ya jumatano alipokuwa anafanya mahojiano na moja ya kituo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…