Aidan Eyakuze anaondoka Twaweza East Africa ambapo aliku Mkurugenzi Mtendaji baada ya takribani muongo mmoja wa uongozi wa maono. Aidan anatarajia kujiunga na Ushirikiano wa Serikali Wazi (OGP) katikati ya mwezi Machi 2025.
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza East Africa, Aidan Eyakuze...