twaweza

  1. Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza East Africa, Aidan Eyakuze atangaza kuondoka katika taasisi hiyo. Anatarajia kujiunga na OGP

    Aidan Eyakuze anaondoka Twaweza East Africa ambapo aliku Mkurugenzi Mtendaji baada ya takribani muongo mmoja wa uongozi wa maono. Aidan anatarajia kujiunga na Ushirikiano wa Serikali Wazi (OGP) katikati ya mwezi Machi 2025. Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza East Africa, Aidan Eyakuze...
  2. J

    SoC04 Tanzania ifanye hivi kuboresha sekta za Madini, Utalii na Viwanda

    Tanzania, nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inaangalia mbele kwa matumaini katika kuleta mabadiliko makubwa katika sekta muhimu za uchumi wake: madini, utalii, na viwanda. Kwa miongo kadhaa, madini yamekuwa sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, na jitihada za hivi karibuni...
  3. Mkurugenzi TWAWEZA: Siku hizi kuna 'Fisi wa Kidigitali' wanaiba Taarifa Binafsi na kuzitumia vibaya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya TWAWEZA, Aidan Eyakuze amewasii wadau kulinda taarifa binafsi za wateja wao huku pia akiwataka Wananchi kuwa makini wanapotoa taarifa zao ambapo amedai kuwa siku hizi kuna 'Fisi wa Kidigitali' ambao uchukua taarifa za watu na kuzitumia kwa madhumuni yao bila...
  4. Gharama za Maisha: Wananchi Asilimia 68 "Hawana Furaha", Serikali yaonya

    Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
  5. N

    Utafiti TWAWEZA: Asilimia 53 ya watanzania wameridhika na maboresho ya huduma ya afya

    Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita. Ukweli juu ya tafiti hiyo unathibitishwa kupitia ujenzi na ukarabati wa...
  6. VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

  7. TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

    Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali inazidi kuwaumbua CHADEMA ambao kila siku ni kudandia hoja na kupotosha 😂😂. CHADEMA kazi mnayo...
  8. SI KWELI TWAWEZA yaahirisha uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, leo Agosti 25, 2022

    Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
  9. Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

    Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi. Utafiti huo mpya...
  10. Kenani Kihongosi na ripoti ya TWAWEZA ya mwaka 2017

    Neno ushiriki wa kisiasa kwa ujumla katika maana ni tabia yoyote ya kibinadamu au ushiriki ambao unachangia au unashawishi mchakato wowote wa kisiasa au matokeo. Ushiriki wa kisiasa unaweza kuwa wa mtu binafsi kujihusisha moja kwa moja kwenye siasa kama mwanachama wa chama au mgombea wa chama...
  11. TWAWEZA yawasilisha Matokeo ya Mpango wa 'KiuFunza' ambao umesaidia Wanafunzi 26,000

    Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
  12. TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya

    Hii ndio taarifa iliyopatikana kutokana na Utafiti uliofanywa na Taasisi inayoaminika nchi Tanzania inayoitwa TWAWEZA , katika utafiti wao ulioitwa UNFINISHED BUSINESS . Bila shaka sasa kuna haja ya kufuata matakwa ya wengi.
  13. WEF yamtaja Mkurugenzi TWAWEZA, Aidan Eyakuze, miongoni wa watu 50 wenye ushawishi na wanaohamasisha mageuzi ya kiutawala

    Eyakuze ni mmoja kati ya Waafrika watatu pekee kwenye orodha hiyo na mmoja kati ya 11 ambao hawako katika utumishi wa serikali. Taasisi ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) inayoshughulika na utawala bora na Apolitical, zimemtambua Eyakuze kwenye orodha ya watu 50 wanaohamasisha maboresho na...
  14. UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

    Utafiti wa Sauti za Wananchi, Awamu ya 27 wa Aprili 2018 umebaini 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015. Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016 na 71% mwaka 2017 Kiwango cha kukubalika kwa Rais kimeshuka kutoka kwenye rekodi ya juu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…