Wakuu, naaamini humu kutakuwa na wajuzi watakaoweza kujibu swali langu hili.
Kama umegonga Twiga kama inavyoonekana hapo pichani, faini yake huwa ni shingapi?
Hii picha nimekutana nayo huko X na imenipa maswali mengi.
Na hiyo hela ukishalipa inaenda kwa familia ya Twiga kama fidia au inaenda...
Hizi ni sifa tano za twiga mrefu mwembamba mwenye shingo ndefu.
Anahisi majani yote yaliyo juu mwenye haki ya kuyatumia ni yeye peke yake (mroho).
Anaamini ni yeye tu mwenye akili na hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi yake ! Anapenda kukanyaga walio chini yake kwa sifa ya urefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.