Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
Ingekuwa ni enzi zangu nacheza mpira (naupiga mwingi) nina uhakika huyu Mshambuliaji Mbovu wa Yanga SC Fiston Mayele sasa hivi angekuwa Muhimbili Hospitali anauguza Jeraha la Miaka 6 ijayo kwa Rafu ambayo ningemchezea.
Mabeki wa NBC Premier League (Siku hizi) ni Wapuuzi sana na ndiyo maana...
Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa.
Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza...
Kwa hili la Waziri Ummy Mwalimu la Likizo na hakuna Twisheni Mimi kama GENTAMYCINE naungana nae tena kwa 100% zote tu.
Hivi Wataalam wa Taaluma, Elimu na Saikolojia walioweka Kipindi cha Likizo kwa Watoto ( Wanafunzi ) walikuwa Mazuzu ( Majuha ) kama wengi wenu mnaompinga?
Kuna Mzazi Mmoja...
Wakuu kuweni makini na hawa maustadhi wanaowafundisha Watoto wenu huko vyuoni au twisheni.
Tuko kwenye CAT session hapa Dodoma, Kuna Kesi Mwalimu wa Madrasa Moja Hapa Alikuwa anawafundisha watt mchanganyiko kumbe Miongoni Mwao watt wale Kuna Binti wa miaka 9 ustadhi akawa anamuingilia yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.