typhoid

  1. Simao Latino

    Maji baridi sana (barafu ngumu) hayaui vijidudu vya magonjwa kama Typhoid. Is this true??

    Eti wakuu, kwa mfano ukichukua maji kutoka bombani kisha ukayaweka katika friji na kuganda mpaka -100 degree centigrade (opposite ya 100 degrees centigrade) na kuwa barafu gumu sana, kisha ukayaacha maji hayo kuyeyuka na kuwa liquid, bado yanakuwa si salama kwa kunywa kama ambavyo yangechemshwa...
  2. S

    Janga la Malaria, Typhoid na UTI

    Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au maabara hasa hizi ndogo ndogo za mtaani. Magonjwa haya kwa mujibu wa repoti za ‘ndomo’ na takwimu...
  3. Lycaon pictus

    Typhoid Mary 1869-1938

    Mary Mallon alizaliwa mwaka 1869 huko nchini Ireland. Mama yake akiwa na mimba yake alipatwa na ugonjwa wa Typhoid. Hili likamfanya Mary awe na maambukizi ya wadudu wa Typhoid ambao waliishi katika mfuko wa nyongo. Wadudu hawa hawakumsababishia ugonjwa wa typhoid ila aliweza kuambukiza wengine...
  4. S

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection?

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection? Ili kuelewa maana ya Infection na kwanini mara kwa mara unaambiwa una Infection ukienda hospitali, ni muhimu kwanza kufahamu japo kidogo jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi...
  5. S

    Nakaribia kumaliza dawa nilizoshauriwa na Daktari lakini nahisi bad sipo sawa

    Natanguliza salama kwa WanaJF wote natumain ni wazima kuja kwangu hapa leo nimepatwa na typhoid so nikaenda kwa doctor nikapata vipimo ×3 UTI, Malaria na typhoid majibu yakaja kuwa naumwa Typhoid na Malaria. Nikapewa dozi kwa maralia nimetumia mseto na panadol na kwa upande wa typhoid nlipewa...
  6. R

    SoC04 Typhoid, ugonjwa unaouzwa kama nyanya na hospital binafsi

    " Daktari, Mimi Typhoid yangu naijua nikihisi tu naenda kununua dawa nakunywa na napona vizuri tu" Sentensi hii madaktari tumekua tukikutana nayo mara Kwa mara pindi tuwaonapo wagonjwa wengi huku mitaani. Cha kusikitisha zaidi Ugonjwa huu umekuwa ukitumika kujiingizia faida Kwa hospital...
Back
Top Bottom